< Baebrania 13 >
1 Bai upendo wa nongo ni uyendeli.
Endeleeni kupendana kama ndugu.
2 Kana msahaulile kubakaribisha ageni, mana kwa kupanga nyoo, bbadhi watikwakaribisha malaika bila kuyowa.
Msisahau kuwakaribisha wageni, kwa kuwa kwa kufanya hivyo, watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua.
3 Kumbukya boti babile muligereza, kati yamubile nabo kolyo pamope nabo. na kati yega yinu yatipangilwa kati babe.
Wakumbukeni wale waliofungwa gerezani kana kwamba ninyi mmefungwa pamoja nao. Pia wakumbukeni wale wanaotendewa vibaya, kana kwamba ni ninyi wenyewe mnateswa.
4 Bai ndoa ni iheshimilwe ni boti na bai kindanda sa ndoa kipangwe kuba safi, kwa mana Nnongo atikuahukumu baasherati ni azinzi.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.
5 Bai ndela yinu ya maisha ibe huru mu'upendo ba mbanje. Mube mwatiridhika ni ilebe mubile nayo, mana Nnongo mwene kabaya, “Nalowa kuwaleka kwaa mwenga kamwe, wala kubatelekeza mwenga.”
Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema, “Kamwe sitakuacha, wala sitakupungukia.”
6 Bai tulidhike ili tubaye kwa ujasiri, Ngwana nga msaidizi bango; kana niyogopile kwaa mundu ywaweza kunipanga namani?”
Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, “Bwana ni msaada wangu; sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?”
7 Muafikirie balo babile kabayongolya, balo kabalongela neno lya Nnongo kwinu, mukumbukye matokeo ga mienendo gabe; muiyangate imani yabe.
Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Angalieni matokeo ya mwenendo wa maisha yao mkaiige imani yao.
8 Yesu Kristo nga ywembe, jana, leno ni aya milele. (aiōn )
Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele. (aiōn )
9 Kana uise kuyogoliwa ni mapundisho mbalembale ga kigeni mana inoyite kwa mwoyo uchengwe kwa neema, na ibile kwaa saliya kuhusu chakulya ago kababasaidia balo baishile kwa ago.
Msichukuliwe na kila aina ya mafundisho ya kigeni. Ni vyema mioyo yenu iimarishwe kwa neema, wala si kwa sheria kuhusu utaratibu wa vyakula, ambavyo havina faida kwa wale wanaozishika hizo sheria.
10 Tubile ni madhabau yabile ni balo batumikilwe nkati ya lihekalu babile kwaa ni haki ya kulya.
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.
11 Kwa mana mwai ya anyama, yatiboywa kati dhabihu kwaajili ya sambi, yailetike kuhani nkolo nkati ya pandu patakatifu, lakini yega yabe yatiniywe panja ya kambi.
Kuhani mkuu huchukua damu ya wanyama na kuiingiza Patakatifu pa Patakatifu, kama sadaka ya dhambi, lakini miili ya hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.
12 Kwa eyo Yesu ni ywembe ywatesekile panja ya nnyango ba mji, ili kubeka wakfu bandu kwa Nnongo petya mwai yake.
Vivyo hivyo, Yesu naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe.
13 Nga kwa eyo tuboke kwake panja ya kambi, twaipotwike fedheha yake. Mana twabile kwaa makao ya hudumia mu'mji woo.
Kwa hiyo, basi na tumwendee nje ya kambi, tukiichukua aibu aliyobeba.
14 Badala yake tuupalange mji wauisile.
Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao.
15 Petya Yesu yatikuapasa mara kwa mara kuyitoa sadaka ya kuntukuza Nnongo, kumsifu kuwa tunda lya mikano yitu libaye lina lyake.
Basi kwa njia ya Yesu, tuzidi kumtolea Mungu dhabihu ya sifa, yaani matunda ya midomo inayolikiri Jina lake.
16 Nga kana usahau kupanga yanoite ni kusaidiana mwenga kwa mwenga, kwa mana petya kati yelo nga Nnongo upendezwa muno.
Na msiache kutenda mema na kushirikiana vile vitu mlivyo navyo, kwa kuwa dhabihu kama hizo ndizo zinazompendeza Mungu.
17 Muieshimu ni kujishusha kwa iongozi yinu, mana kabayendelya kubalinda kwaajili ya nafsi yinu, kati balo kabatoa hesabu. Mugaeshimu ili iongozi binu baweze kubatunza kwa furaha, nga ibile kwaa huzuni, yabile yatikuasaidia kwaa.
Watiini viongozi wenu na kujinyenyekeza chini ya mamlaka yao. Kwa maana wao wanakesha kwa ajili yenu kama watu watakaopaswa kutoa hesabu. Watiini ili wafanye kazi yao kwa furaha, wala si kama mzigo, maana hiyo haitakuwa na faida kwenu.
18 Tulobe, mana twabile ni uhakika kuba twabile ni dhamira inoyite, twatamaniya kuishi maisha ga heshima mu'makowe goti.
Tuombeeni. Tuna hakika kuwa tunayo dhamiri safi na shauku ya kuishi kwa uadilifu kwa kila njia.
19 Ni boti niakubatia mwoyo muno mpange yee, ili niweze buyangana kwinu muda nchunu.
Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi.
20 Nambeambe Nnongo wa amani, ywabile atibaletya kae kuoma kwa bawile mchungaji nkolo ba ngondolo, Ngwana witu Yesu, kwa mwai ya liagano lya milele, (aiōnios )
Basi Mungu wa amani, ambaye kwa damu ya Agano la milele alimleta tena kutoka kwa wafu Bwana wetu Yesu, yule Mchungaji Mkuu wa kondoo, (aiōnios )
21 Kabapeya uwezo kwa kila kilebe kinoyite kupanga mapenzi gake, kaapanga kazi nkati yitu yabile inoyite ya kupendeza mu'minyo gake, petya kwa Yesu, kwake ube utukufu milele ni milele. Amina. (aiōn )
awafanye ninyi wakamilifu mkiwa mmekamilishwa katika kila jambo jema ili mpate kutenda mapenzi yake, naye atende ndani yetu kile kinachompendeza machoni Pake, kwa njia ya Yesu Kristo, ambaye utukufu una yeye milele na milele. Amen. (aiōn )
22 Nambeambe nibakuapeya mwoyo, mwalongo, kuchukulyana nga neno lya kutia mwoyo wabile kwa mwipi natibaandikya mwenga.
Ndugu zangu, nawasihi mchukuliane na maneno yangu ya maonyo, kwa kuwa nimewaandikia waraka mfupi tu.
23 Mutangite kuwa nongo bitu Timotheo ni ywembe nalowa kummona kati atiicha muda nchunu.
Nataka ninyi mjue kwamba ndugu yetu Timotheo amefunguliwa kutoka gerezani. Akifika mapema, nitakuja pamoja naye kuwaona.
24 Mubasalimii iongozi bako boti ni baumini boti. Balo baboite Italia kabaasalimia.
Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu.
25 Ni neema ibe ni mwenga mwaboti.
Neema iwe nanyi nyote. Amen.