< Matendo ga Mitume 25 >

1 Nga Festo ajingii mu'jimbo lee na baada ya masoba matatu kayenda boka Kaisaria mpaka Yerusalemu.
Now upon assuming the province, after three days Festus went up from Caesarea to Jerusalem.
2 Kuhani nkolo na Bayahudi mashuhuri bannetike mashitaka dhidi ya Paulo kwa Festo, na batilongela kwa nguvu kwa Festo.
Then the chief priests and the principal men of the Jews informed him against Paul and started importuning him,
3 Na bannobia Festo fadhili nnani ya habari za Paulo apate kunkema Yerusalemu ili bapate kumulaga mundela.
begging a favor from him, that he would summon him to Jerusalem—preparing an ambush to kill him along the way.
4 Lakini Festo kaayangwa panga abile mfungwa katika Kaisaria, na panga ywembe mwene alowa kerebuka kolyo haraka.
However Festus answered that Paul should be kept at Caesarea, he himself being about to go there shortly.
5 Abaya “Kwa eyo, balo ambao baweza, waweza kuyenda kolyo ni twenga. Mana kibile kilebe kibaya kwa mundu yolo, mpalikwa kunshitakia.”
He said, “So let those who are competent among you go down with me; if there is anything against this man, let them accuse him.”
6 Baada ya tama masoba nane au komi zaidi, atikerebuka Kaiaria. Na lisoba lyanyaibele atami katika iteo cha hukumu na kuamuru Paulo aletwe kwake.
When he had stayed among them more than ten days, he went down to Caesarea; the next day he sat on the judgment seat and commanded Paul to be brought.
7 Paaikite, Ayahudi boka Yerusalemu bayemi papipi, batoa mashitaka ganyansima mazito ambayo baweza kwaa kugathibitisha.
When he had come, the Jews who had come down from Jerusalem made a circle, bringing against Paul many serious charges that they could not prove,
8 Paulo atijitetea no baya,'ni nnani kwaa ya lina lya Ayahudi, nnani kwaa ya lihekalu, na nnani kwaa ya Kaisari, nipangite mabaya.'
while he defended himself, “Neither against the law of the Jews, nor against the temple, nor against Caesar did I commit any sin.”
9 Lakini Petro apala kujipendekeza kwa Ayahudi, na nyoo kayangwa Paulo kwa baya,'Je, upala kuyenda Yerusalemu na hukumilwa na nenga kuhusu makowe aga huko?'
But Festus, wanting to do the Jews a favor, answered Paul by saying, “Are you willing to go up to Jerusalem to be judged by me there concerning these things?”
10 Paulo kabaya,'Nayema nnongi ya iteo cha hukumu cha Kaisari ambapo nipalikwa hukumilwa. Nawakosea kwaa Ayahudi, kati wenga utangite vema.
So Paul said: “I am standing before Caesar's judgment seat, where I ought to be tried. To the Jews I have done no wrong, as even you know very well.
11 Mana itei nimekosa na mana nipangite chastahilia kiwo, nikanikiya kwaa kubulagwa. Lakini mana mashitaka gabe ni kilebe kwaa, ntopo mundu ywaweza kunikabidhi kwao. Nannoba Kaisari.'
Now if I really am in the wrong and have perpetrated anything worthy of death, I do not refuse to die; but if there is nothing to the things of which these are accusing me, no one has the right to give me to them. I appeal to Caesar!”
12 Baada Festo kulongela na libaraza kayangwa, “unnoba Kaisari, walowa yenda kwa Kaisari.”
Then Festus, when he had conferred with his counsel, answered: “You have appealed to Caesar. To Caesar you shall go!”
13 Baada ya masoba kadhaa, mpwalume Agripa na Barnike baikite Kaisara kupanga ziara rasmi kwa Festo.
Now when some days had passed, Agrippa the king and Bernice arrived in Caesarea to congratulate Festus.
14 Baada ya tama hapo kwa masoba ganyansima, Festo atiwasilisha kesi ya Paulo kwa Mpwalume, Kabaya,'Mundu yumo alekitwe pano na Feliki kati mfungwa.
Since they were spending many days there, Festus laid Paul's case before the king, saying: “There is a certain man left a prisoner by Felix;
15 Panibile Yerusalemu makuhani akolo na apindo ba Ayahudi bannetike mashitaka nnani ya mundu yolo kwango, na bembe banaluya nnani ya hukumu yake.
about whom, when I was in Jerusalem, the chief priests and the elders of the Jews informed me, asking for punishment against him;
16 Kwa lee nenga naayangite panga ni desturi kwaa ya Aroma kumtoa mundu kwa upendeleo badala yake, mtuhumiwa apalikwa kuwa na nafasi ya kugakabili bashitaki bake na kujitetea nnani ya tuhuma zake.
to whom I answered that it is not a custom with Romans to deliver any man to destruction before the accused has his accusers face to face and has opportunity for defense against the accusation.
17 Kwa eyo pabaisile pamope pano. niweza kwaa subiri, lakini lisoba lyake lyanyaibele natama pa iteo cha hukumu na kuamuru mundu yolo aletwe ndabi.
So when they had assembled here, without any delay, the next day I sat on the judgment seat and commanded the man to be brought.
18 Muda bashitaki bake bayemi na kunshitaki, nilifikiri panga ntopo mashitaka makolo gabile nnani yake.
When the accusers stood up, they brought no charge against him of such things as I supposed,
19 Badala yake, babile na mabishano fulani pamope ni ywembe kuhusu dini yao na kuhusu Yesu ambaye ywaawile, lakini Paulo abaya kuwa abile nkoto.
but had certain issues against him about their religion, and about a certain dead Jesus whom Paul affirmed to be living.
20 Nibile nitangite kwaa namna ya kuchunguza likowe lee, na ninnaluye mana alowa yenda Yerusalemu kuhukumilwa nnani ya makowe aga.
And since I was at a loss how to investigate such matters, I asked whether he was willing to go to Jerusalem and be judged there concerning these things.
21 Lakini Paulo paakemelwa abekwe pae ya ulinzi kwa ajili ya uamuzi wa Mpwalume, niliamuru abekwe hata panimpelekeye kwa Kaisari.'
But when Paul appealed to be reserved for the decision of the Emperor, I commanded him to be kept until I can send him to Caesar.”
22 Agripa atilongela na Festo, “nipala yenda nanenga kumpekania mundu yolo.” Festo kabaya, “walowa mpekania malabo.”
Then Agrippa said to Festus, “I myself would also like to hear the man.” So he said, “Tomorrow you shall hear him.”
23 Malao yake, Aripa na Bernike baikite na sherehe yanyansima; baikite katika ukumbi na maafisa ba majeshi, na bandu mashuhuri ba mji. Na Festo alipotoa amri, bannete Paulo kwao, Paulo aisile kwao.
So the next day, when Agrippa and Bernice had come with great pomp and entered the auditorium, with the commanding officers and the more prominent men of the city, at Festus' command Paul was brought in.
24 Festo kabaya, “Mpwalume Agripa, na bandu bote ambao mubile pano pamope natwee, mwalolekeya mundu yolo; jumuiya yote ya Ayahudi kolyo Yerusalemu na pano bapala nibashauri, na bembe bakombwa ndoti kwango panga kana atame.
And Festus said: “King Agrippa, and all you men who are here with us: consider this man, about whom the whole Jewish community petitioned me, both at Jerusalem and here, vociferating that it was not fitting for him to live any longer.
25 Nibweni panga apangite kwaa lolote lyastahili bulagwa; lakini kwa sababu
But when I found that he had committed nothing worthy of death, besides he himself having appealed to the Emperor, I decided to send him.
26 akemelwa na Mpwalume, niliamua kumpeleka kwake. Lakini nibile ntopo kilebe cha kuandika kwa Mpwalume. Kwa sababu yee, ninnetike kwako, hasa kwako wenga, Mpwalume Agripa, ili nipate kuwa na kilebe sa kuandika kuhusu kesi.
But I have nothing certain to write to my lord concerning him. Therefore I have brought him before all of you, and especially before you, King Agrippa, so that after the examination I may have something to write.
27 Kwa mana nibweni ibile kwaa na maana kumpeleka mfungwa na bila kugabona mashitaka yanayomkabili.
Because it seems to me unreasonable to send a prisoner and not to specify the charges against him.”

< Matendo ga Mitume 25 >