< Matendo ga Mitume 24 >
1 Baada ya masoba matano. Anania kuhani nkolo, baadhi ya apindo na msemaji yumo ywakemelwa Tertulo, bayenda palo. Bandu aba banetike mashitaka dhidi ya Paulo kwa Gavana.
And after five days the chief priest Ananias came down, with the elders, and a certain orator—Tertullus, and they disclosed to the governor [the things] against Paul;
2 Paulo paayemi nnongi ya Gavana, Tertulo atumbwile kunshitaki no baya kwa gavana, “Kwa sababu yako tubile na amani kolo; na kwa maono yako yatileta mageuzi yanoite katika litaifa lyetu;
and he having been called, Tertullus began to accuse [him], saying, “Enjoying much peace through you, and worthy deeds being done to this nation through your forethought,
3 Bai kwa shukrani yote twapokya kila kilebe chaakipangite, Wasalam mheshimiwa Feliki.
always, also, and everywhere we receive it, most noble Felix, with all thankfulness;
4 Lakini kana nikuchoshe muno, nakusihi ugapekanie maneno machunu kwa fadhili yako.
and that I may not be further tedious to you, I exhort you to hear us concisely in your gentleness;
5 Kwa maana tumpatike mundu yolo nkorofi, na ywasababisha Ayahudi bote kuiasi dunia. Kae ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo.
for having found this man a pestilence, and moving a dissension to all the Jews through the world—also a ringleader of the sect of the Nazarenes—
who also tried to profane the temple, whom we also took, [[and wished to judge according to our law,
and Lysias the chief captain having come near, took away out of our hands with much violence,
8 Ukinnaluya Paulo kuhusu makowe aga, hata waweza kujifunza ni kilebe gani twamshitakia.”
having commanded his accusers to come to you, ]] from whom you may be able, yourself having examined, to know concerning all these things of which we accuse him”;
9 Bayahudi nabo batimshitaki Paulo, babaya panga makowe gabile kweli.
and the Jews also agreed, professing these things to be so.
10 Liwali paampungia luboko ili Paulo alongele, Paulo kayangwa, “Nitangite panga kwa miaka yanyansima ubile mwamuzi wa litaifa lee, na nibile na furaha kujieleza mwene kwako.
And Paul—the governor having beckoned to him to speak—answered, “Knowing [that] for many years you have been a judge to this nation, I answer more cheerfully the things concerning myself;
11 Waweza kuhakikisha kuwa yayomwike kwaa masoba zaidi ya komi ni ibele boka panatipanda kuyenda kuabudu Yerusalemu.
you being able to know that it is not more than twelve days to me since I went up to worship in Jerusalem,
12 Na banikwembine katika lihekalu, nabisha kwaa na mundu yoyote, na nipangite kwaa fujo katika mkutano, wala katika masinagogi wala nkati ya mji;
and neither did they find me reasoning with anyone in the temple, or making a dissension of the multitude, nor in the synagogues, nor in the city;
13 na wala baweza kwaa kuhakikisha kwako mashitaka wanayoyashitaki dhidi yango.
nor are they able to prove against me the things concerning which they now accuse me.
14 Ila nakiri lelo kwako, ya panga kwa ndela yelo ambayo dhehebu, kwa ndela yeyelo natimtumikia Nnongo wa tate bitu. Nenga na mwaminifu kwa yote yabile katika saliya na maandiko ya manabii.
And I confess this to you, that, according to The Way that they call a sect, so I serve the God of the fathers, believing all things that have been written in the Law and the Prophets,
15 Nibile na ujasiri wowolo kwa Nnongo ambao hata abo nao batilenda, kuisa kwa ufufuo wa bandu ba kiwo, kwa bote bene haki na babile kwaa na haki kae;
having hope toward God, which they themselves also wait for, [that] there is about to be a resurrection of the dead, both of righteous and unrighteous;
16 na kwa lee, napanga kazi ili niwe na dhamira ibile kwaa na hatia nnongi ya Nngongo na nnongi ya bandu pitya makowe gote.
and in this I exercise myself, to always have a conscience void of offense toward God and men.
17 Nambeambe baada ya miaka ganyansima niisile kuleta msaada kwa litaifa lyango na zawadi ya fedha.
And after many years I came, about to do kind acts to my nation, and offerings,
18 Nipangite nyoo, Bayahudi fulani ba Asia banikwembine nkati ya sherehe ya utakaso ndani ya lihekalu, bila likundi lya bandu wala ghasia.
in which certain Jews from Asia found me purified in the temple, not with multitude, nor with tumult,
19 Bandu aba ambao ipalikwe kuwapo nnongi yako nambeambe na babaye chelo wakibona nnani yango kati babile na neno lolote.
whom it is necessary to be present before you, and to accuse, if they had anything against me,
20 Au bandu aba bene babaye ni likosa gani balibweni kwango paniyemite nnongi ya libaraza lya kiyahudi;
or let these same say if they found any unrighteousness in me in my standing before the Sanhedrin,
21 Ila kwa ajili ya kilebe chimo nikibayite kwa lilobe paniyemi katikati yao,'ni kwa sababu ya ufufuo ba bandu ba mu'kiwo mwenga mwanihukumu.”
except concerning this one voice, in which I cried, standing among them—Concerning a resurrection of the dead I am judged by you today.”
22 Feliki abile atitaarifiwa vizuri kuhusu ndela, na atiuahirisha mkutano, Kabaya, “Lisia jemedari paaisa pae boka Yerusalemu nitatoa maamuzi dhidi ya mashitaka yinu.”
And having heard these things, Felix delayed them—having known more exactly of the things concerning The Way—saying, “When Lysias the chief captain may come down, I will know fully the things concerning you”;
23 Nga nyo atiamuru akida amlinde Paulo, ila abe na nafasi na hata abile kwaa mundu bakiwakanikiya marafiki bake bamsaidie wala bamtembelee kwaa.
having also given a direction to the centurion to keep Paul, to let [him] also have liberty, and to forbid none of his own friends to minister or to come near to him.
24 Baada ya masoba kadhaa, Feliki atikerebukia na Drusila nyumbowe ywabile Myahudi, atimtuma kumwita Paulo na akibapekania boka kwake habari za imani nkati ya Kristo Yesu.
And after certain days, Felix having come with his wife Drusilla, being a Jewess, he sent for Paul, and heard him concerning faith toward Christ,
25 Ila Paulo paabile akijadiliana naywembe kuhusu haki, kuwa na kiasi na hukumu yaisile, Feliki akapata hofu kayangwa, “uyende kutalu kwa nambeambe, ila nikipata muda kae, nalowa kukukema.”
and he reasoning concerning righteousness, and self-control, and the judgment that is about to be, Felix, having become afraid, answered, “For the present be going, and having time, I will call for you”;
26 Muda wowolo, atitegemea panga Paulo ampeya mbanje kwa eyo amkemile mara zanyansima akilongela naywembe.
and at the same time also hoping that money will be given to him by Paul, that he may release him, therefore, also sending for him often, he was conversing with him;
27 Ila miaka ibele yapeta, Porkion Festo abile Liwai baada ya Feliki, ila Feliki atipala kujipendekeza kwa Bayahudi, nga nyo atinleka Paulo pae ya uangalizi.
and two years having been fulfilled, Felix received a successor, Porcius Festus; Felix also willing to lay a favor on the Jews, left Paul bound.