< 2 Athesalonike 1 >
1 Paulo, Silwano na Timotheo kwa kanisa lya atesalonike katika Nnongo Tate bitu na Nngwana Yesu Kirisitu.
Paulo, Silvano na Timotheo: Kwa kanisa la Wathesalonike mlio katika Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo:
2 Neema na ibe kwinu Amani yaipita kwa Nnongo Tate bitu na Nngwana Yesu Kirisitu.
Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo iwe nanyi.
3 Ipalikwa twenga kunshukuru Nnongo machina goti kwaajili yinu alongo. maana nyaa ngachaipalikwa, kwa kuwa Imani yinu indakula muno na upendo winu kwa kila mundu muyokekeye muno.
Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na zaidi na upendo wa kila mmoja wenu alio nao kwa mwenzake unazidi kuongezeka.
4 Hata twenga twabene twandalongela kwa kuipuna usu mwenga katika makanisa ga Nnongo, twandalongela habari ya komea kwinu na ubilya kwinu katika mateso gahibile nago goti. Twandalongela kwa habari ya mateso mwanyemii.
Ndiyo sababu miongoni mwa makanisa ya Mungu, tunajivuna kuhusu saburi yenu na imani mliyo nayo katika mateso yote na dhiki mnazostahimili.
5 Hayii nga ishara ya hukumu ya Nnongo. mateso ga gaaipunga mwenga mustairi jingya ufalme wa Nnongo ambao kwaajili yake banda kutesa.
Haya yote ni uthibitisho kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki, na kwa sababu hiyo ninyi mtahesabiwa kwamba mnastahili kuwa wa Ufalme wa Mungu, mnaoteswa kwa ajili wake.
6 Kwa kuwa ibile haki kwa Nnongo kwa lepa mateso ball babatesa mwenga.
Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi
7 na kumpa raa mwenga mwanteselwa pamo na twee. Apanga nya wakati wa pamuhumukwa Nngwana Yesu buka kunani pamoja na malaika bena uwecho wake.
na kuwapa ninyi mnaoteseka raha pamoja na sisi, wakati Bwana Yesu atakapodhihirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu.
8 Katika mwali mwoto aabalipa kisasi balo babantangite lii Nnongo na bato babayiketya lii Injili ya Nngwana witu Yesu.
Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
9 Bapateseka na maangamiso ganga lii yomoka na kuabeka kulipau na uwepo wa Nngwana na utukufu wa ngupu yake. (aiōnios )
Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake, (aiōnios )
10 Apanga paaicha linga nannumbe bandu bake na changalaa na boti babaaminile. kwa kuwa ukoye yitu kwinu mwatikulaminiya mwee.
siku hiyo atakapokuja kutukuzwa katika watakatifu wake na kustaajabiwa miongoni mwa wote walioamini. Ninyi pia mtakuwa miongoni mwa hawa kwa sababu mliamini ushuhuda wetu kwenu.
11 kwasababu yino twanda kunobya mwenga machuba goti. Twandaloba Nnongo witu amalangi mwende stahili kemelelwa. Twanda luba kwamba apate timiza kila haja ya wema na kachi ya ubelya kwa ngupu.
Kwa sababu hii, tunawaombea ninyi bila kukoma, ili Mungu apate kuwahesabu kuwa mnastahili wito wake na kwamba kwa uwezo wake apate kutimiza kila kusudi lenu jema na kila tendo linaloongozwa na imani yenu.
12 Twanda loba mambo ga linga mpate kulilumba Lina lya Nngwana Yesu. Twanda loba kwamba linga mpate lumbilwa na ywembe, kitumbu cha nema ya nnogina ya Nngwana Yesu Kirisitu.
Tunaomba hivi ili Jina la Bwana wetu Yesu lipate kutukuzwa ndani yenu, nanyi ndani yake, kulingana na neema ya Mungu wetu na Bwana Yesu Kristo.