< 1 Akoritho 5 >
1 Tuyowine taarifa kuwa kwabile ni umalaya nkati yinu, aina ya umalaya ambayo ibile kwaa hata nkati ya bandu wa Mataifa. Tubile ni taarifa kuwa yumo winu gonja ni nyumbo wa tate bake.
Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu, aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa. Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake.
2 Mwenga mwaisifu! Badala ya huzunika? Yolo ywapangite nyoo apalikwa kuondolewa nkati yinu.
Nanyi mwajisifu! Badala ya kuhuzunika? Yule aliyefanya hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwenu.
3 Ingawa nabile pamope ni mwenga kwa yega lakini nibile ni mwenga kiroho, niyomwile kumhukumu ywembe ywapangite nyoo, kati yaibile.
Ingawa sipo pamoja nanyi kimwili lakini nipo nanyi kiroho, nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi, kama vile nilikuwepo.
4 Mana mukengamite pamope kati lina lya Ngwana witu Yesu, ni roho yango ibile palyo kati kwa ngupu ya Ngwana witu Yesu, niyomwile kunhukumu mundu yoo.
Mnapokutanika pamoja katika jina la Bwana wetu Yesu, na roho yangu ipo pale kama kwa nguvu za Bwana wetu Yesu, nimekwisha mhukumu mtu huyu.
5 Niyomwile kunkabidhi mundu yolo kwa nchela ili yega yake iharibiwe, ili roho yake iweze kulopolelwa mu'lisoba lya Ngwana.
Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe, ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.
6 Maipuno yinu nga ilebe inoite kwaa. Mutangite kwaa chachu njene uharibu donge zima?
Majivuno yenu si kitu kizuri. Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima?
7 Muisapishe mwenga mwene chachu ya kunchogo, ili mube donge lyayambe, ili mube nkate wauchakachuliwa kwaa. Kwa kuwa, Kristo, Mwana Ngondolo witu wa pasaka ayomwi kuchinja.
Jisafisheni ninyi wenyewe chachu ya kale, ili kwamba muwe donge jipya, ili kwamba mwe mkate usiochachuliwa. Kwa kuwa, Kristo, Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa.
8 Kwa eyo tusherehekee karamu ni achachu kwaa ya kinchogo, chachu ya tabia mbaya ni abou. Badala yake, tushehekee ni nkate ubekelwa kwaa chachu ba unyenyekevu ni kweli.
Kwa hiyo tusherekee karamu si kwa chachu ya kale, chachu ya tabia mbaya na uovu. Badala yake, tusherekee na mkate usiotiwa chachu wa unyenyekevu na kweli.
9 Niiandikile mu'barua yango kuwa kana muichangabane ni amalaya.
Niliandika katika barua yangu kuwa msichangamane na wazinzi.
10 Nibile kwaa ni maana ya bamalaya ba dunia yee, au na babile ni tamaa au anyang'anyi au abudia sanamu kwa tama kutalu ni bembe, bai ipalikwa mtoke mudunia.
Sina maana wazinzi wa dunia hii, au na wenye tamaa au wanyang'anyi au waabudu sanamu kwa kukaa mbali nao, basi ingewapasa mtoke duniani.
11 Lakini nambeambe naandikia kana muyangabane na yoyote ywakemelwa muinja ni alombo mu'Kristo, lakini atama katika umalaya ywabile ni mwene kutamani, au nnyang'anyi, au mwaabudu sanamu, au atukangana au alevi. Wala mulye kwaa ni ywembe mundu wa namna yee.
Lakini sasa nawaandikia kutojichanganya na yeyote anayeitwa kaka au dada katika Kristo, lakini anaishi katika uzinzi au ambaye ni mwenye kutamani, au mnyang'anyi, au mwabudu sanamu, au mtukanaji au mlevi. Wala msile naye mtu wa namna ile.
12 Kwa eyo naiuluya kinamani kubahukumu balio mkati ya likanisa?
Kwa hiyo nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa? Badala yake, ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa?
13 Lakini Nnongo enda hukumu babile panja.”Umboywe mundu mwovu nkati yinu”
Lakini Mungu anawahukumu walio nje. “Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu”