< Wakolosai 2 >

1 Kwa kuj'ha nilonda mmanyai jinsi ambagho njele ni mal'ombosi gha mahele kwa ndabha j'hinu, kwa bhoha bhabhayele laokidia na kwa bhoha ambabho bhabhaloli Lepi pa mihu pangumu m'mbele.
Nataka mjue jinsi ninavyojitaabisha kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walioko Laodikia, na pia kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona mimi binafsi.
2 Nibhomba mbombo ili ndebha mitema ghya bhene ghibhwesiayi kufanjibhwa kwa kulatibhwa pamonga muluganu ni mu bhutajiri bhuoha, bhwingi bhwa bhuhakika kamili bhwa maarifa, katika kuimanya siri j'ha bhukweli j'ha k'yara, ambaj'he ndo krsitu.
Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani, Kristo mwenyewe,
3 Kwa muene hazina syoha sya hekima ni maarifa sifighilihu.
ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
4 Nijhobha naha ili ndabha munu j'hej'hioha y'ola alihioli akabhabhombela hila kwa hotuba j'hiyele ni bhushawishi.
Nawaambia mambo haya ili mtu yeyote asiwadanganye kwa maneno ya kuwashawishi.
5 Na ingawa njele dumu pamonga namu mumb'ele, lakini njele namu mu roho. Nibekuhobhoka kulola bhutaratibu bhwinu unofu nighofu j'ha imani j'hinu mu kristu.
Kwa kuwa ingawa mimi siko pamoja nanyi kimwili, lakini niko pamoja nanyi kiroho, nami nafurahi kuuona utaratibu wenu na jinsi uthabiti wa imani yenu katika Kristo ulivyo.
6 Kame kyamwampokelili Kristu Bwana, mugendai mwa apeti muene.
Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake,
7 Mukomalisibhwayi Kama muene, mjengibhwayi Kama muene mkomalisibhyapayi mu imani Kama tu kyammanyisihbu, ni kufungibhwamu shukrurani j'himehele.
mkiwa na mizizi, na mmejengwa ndani yake, mkiimarishwa katika imani kama mlivyofundishwa, na kufurika kwa wingi wa shukrani.
8 Mlangai j'ha kuj'ha munu j'hej'hioha ij'ola asebhakamulikwa falsafa ni malobhi mat'hop'ho gha bhudeli kulengana ni mapokelelu gha bhanaolamu, kulengana na kanuni sya kidunia, na sio kulengana ni Kristu.
Angalieni mtu yeyote asiwafanye ninyi mateka kwa elimu batili na madanganyo matupu yanayotegemea mapokeo ya wanadamu na mafundisho ya ulimwengu badala ya Kristo.
9 Kwa kuj'ha kwa muene bhukamilifu bhuobha bhwa k'yara bhwitama mu m'mb'ele.
Maana ukamilifu wote wa Uungu umo ndani ya Kristo katika umbile la mwili wa kibinadamu,
10 Namu mmemesibhu ni muene. Muene ndo mutu bhwa kila bhuweza ni mamlaka.
nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.
11 Kwa muene pia mwatahinibhu kwa tohara j'ha j'hitwanyibhu lepi ni bhana damu katika kubhosibhwa m'mb'ele bhwa nyama lakini ni mu tohara j'ha Kiristu.
Katika Kristo pia mlitahiriwa kwa kutengwa mbali na asili ya dhambi, si kwa tohara inayofanywa kwa mikono ya wanadamu, bali kwa ile tohara iliyofanywa na Kristo,
12 Mwasyelibhu pamonga ni muene, mu bhubatatizo. Ni kwa NJ'ela j'ha imani mwa muene mwafumulibhu kwa bhuweza bhwa bhwa K'yara, j'ha amfufuwili kulioma kwa bhafu.
mkiwa mmezikwa pamoja naye katika ubatizo, na kufufuliwa pamoja naye kwa njia ya imani yenu katika uweza wa Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu.
13 Na pamj'hele mfawili mu mmakosa ghinu ni kubela kutahiriwa mu mibhele gha muenga, abhefwanyili hai pamonga ni muene ni kutusamela makosa ghitu ghoha.
Mlipokuwa wafu katika dhambi zenu na kutokutahiriwa katika asili yenu ya dhambi, Mungu aliwafanya mwe hai pamoja na Kristo. Alitusamehe dhambi zetu zote,
14 Afutili kumbukumbu j'ha madeni ghaghayandikibhu, ni taratibu syasyaj'hele kinyume natu. Abhosili ghoha ni kuj'hikomelela pa n'salaba.
akiisha kuifuta ile hati yenye mashtaka yaliyokuwa yanatukabili, pamoja na maagizo yake. Aliiondoa isiwepo tena, akiigongomea kwenye msalaba wake.
15 Asibhosili nghofu ni mamlaka. Aghebhikili bhuwazi ni kughabhomba kuj'ha sherehe j'ha ushindi kwa nj'hela j'ha nsalaba bhwake.
Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.
16 Henu, munu j'hej'hioha y'ola asbhahukumu muenga mu kulya au mu kunywa, au kuhusu ligono lya sikukuu au mwezi mpya au ligono lya sabato.
Kwa hiyo mtu asiwahukumu ninyi kuhusu vyakula au vinywaji, au kuhusu kuadhimisha sikukuu za dini, au Sikukuu za Mwezi Mwandamo au siku ya Sabato.
17 e'fe ndo fivuli fya Mambo gha ghihiola, lakini kiini ndo Kristu.
Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Kristo.
18 Munu j'haibhomba ghoha asinyakibhu tuzo j'ha muene kwa kutaman bhunyenyekevu ni kwa kuabudu malaika. Munu gha jinsi ej'hu ij'hingela mu mambo gha aghabhuene ni kushawishibhwa ni mabhuwazo ghake gha m'mb'ele.
Mtu yeyote asiwaondolee thawabu yenu kwa kusisitiza kunyenyekea kwake na kuabudu malaika. Mtu kama huyo hudumu katika maono yake, akijivuna bila sababu katika mawazo ya kibinadamu.
19 Muene akakikamulila lepi mutu. Ni kuhoma mu mutu kwamba m'mb'ele bhuoha kup'etela fiungo fya muene ni mafupa ghil'ong'eka ni kukamulisibhwa kwa pamonga; ni kuk'hola kwa ak'holaji bhwa wipisilibhwa ni k'yara.
Yeye amepoteza ushirikiano na Kichwa, ambaye kutoka kwake mwili wote unalishwa na kushikamanishwa pamoja kwa viungo na mishipa, nao hukua kwa ukuaji utokao kwa Mungu.
20 Ikayelayi mwa fuwili pamonga ni Kristu kwa tabia sya dunia, mbone mwitama Kama mwibhwajibika kwa dunia:
Kwa kuwa mlikufa pamoja na Kristo, mkayaacha yale mafundisho ya msingi ya ulimwengu huu, kwa nini bado mnaishi kama ninyi ni wa ulimwengu? Kwa nini mnajitia chini ya amri:
21 “Msikamuli, bhwala kubhonja, bhwala kugusa”?
“Msishike! Msionje! Msiguse!”?
22 Aghaghoha ghaamuribhu kwa ndabha j'ha bhuharibifu bhwa bhwihida ni matumizi, Kul'hengana ni maelekezo ni mafundisu gha bhanadamu.
Haya yote mwisho wake ni kuharibika yanapotumiwa, kwa sababu msingi wake ni katika maagizo na mafundisho ya wanadamu.
23 Sheria e'se iyele nihekima sya dini syasitengenesibhu kwa ubinafsi ni bhunyenyekevu ni mateso gha m'mb'ele. Lakini sij'hele lepi ni thamani dhidi j'ha tamaa sya m'mb'ele.
Kwa kweli amri kama hizo huonekana kama zina hekima, katika namna za ibada walizojitungia wenyewe, na unyenyekevu wa uongo na kuutawala mwili kwa ukali, lakini hayafai kitu katika kuzuia tamaa za mwili.

< Wakolosai 2 >