< Matendo ya Mitume 27 >

1 Bho jhiamulibhu kujha twilondeka kusafiri kwa masi kulota Italia, bhan'kabidhi Paulo ni bhafungwa bhangi kwa afisa mmonga bhwa jeshi la Kiroma jhaakutibhweghe Julio, ghwa kikosi kya Agustani.
Ilipoamuliwa kwamba tungesafiri kwa njia ya bahari kwenda Italia, Paulo na wafungwa wengine wakakabidhiwa kwa kiongozi mmoja wa askari aliyeitwa Juliasi, aliyekuwa wa Kikosi cha Walinzi wa Kaisari.
2 Twakweli meli kuhoma Adramitamu, ambajho jhajhele isafiriajhi mundemandema jha pwani jha Asia. Hivyo tukajhingila baharini. Aristaka kuhoma Thesolanike jha Makedonia akalota pamonga ni tete.
Tulipanda meli iliyotoka Adramitio, iliyokuwa inakaribia kusafiri kwenda kwenye bandari zilizopo pwani ya Asia, tukaanza safari yetu tukiwa pamoja na Aristarko, Mmakedonia kutoka Thesalonike.
3 Ligono lyalakesisi tukasopa nanga mu mji bhwa Sidoni, ambapo Julio ambombili Paulo kwa ukarimu ni kunduhusu kulota kwa bharafiki zake kupokela ukarimu bhwa nene.
Kesho yake tukatia nanga Sidoni, naye Juliasi akamfanyia wema Paulo, akamruhusu aende kwa rafiki zake ili wamtimizie mahitaji yake.
4 Kuhoma api tokalota mu bahari twasafiri kusyongoka kisiwa kya Kipro ambakyo kya k'engibhu ni m'pongo, kwa ndabha m'pongo utusumbuleghe.
Kutoka huko tukaingia baharini tena na tukapita upande wa chini wa kisiwa cha Kipro kwa sababu upepo ulikuwa wa mbisho.
5 Baada jha kusafiri mmasi kalibu ni Kilikia ni Pamfilia, tukahida Mira, mji bhwa Lisia.
Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.
6 Pala jhola afisa ghwa jeshi lya Kiroma, ajhikolili meli kuhoma Alexandria ambajho jhilondeghe kusafiri kulota Italia. Akatukwesya mugati.
Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.
7 Baada jha kusafiri molimoli kwa magono mingi ni hatimaye twfikili kwa tabu karibu ni Kinidas, m'pongo ghwa turuhusuili lepi kabhele kulota njela ejhu hivyo twasafiri mundemandema jha kivuli kya Krete khoni twikikenga mp'ongo, mkabala ni Salmone.
Tukasafiri polepole kwa siku nyingi na kwa shida, hatimaye tukafika karibu na Nido. Kwa kuwa upepo wa mbisho ulituzuia tusiweze kushika mwelekeo tuliokusudia, tukapita chini ya Krete mkabala na Salmone.
8 Twasafiri mundemandem jha pwani kwa ukakatafu, mpaka tukafika mahali papakutibhu Fari Haveni ambajho ijhele karibu ni mji bhwa Lasi.
Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
9 Twatolili muda umelele muni, ni muda bhwa mfungo ghwa Kiyahudi ghwajhele umalikupea kabhele, na henu jhajhele ni hatari kujhendelela kusafiri. Hivyo Paulo akatuonya,
Muda mwingi ulikuwa umepotea na kusafiri baharini kulikuwa hatari kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya siku za kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema,
10 ni kujobha, “Bhagosi, nibhona safari jha twilonda kulota ejhe ni madhara ni hasara simehele, siyo tu jha misighu ni meli, lakini ni jha maisha gha jhotu.”
“Mabwana, naona kuwa hii safari ni yenye maafa na ya kuleta hasara kubwa kwa meli na shehena, pia kwa maisha yetu.”
11 Lakini afisa ghwa jeshi la Kiroma akampelekesya zaidi bwana ghwa muene ni mmiliki ghwa meli, kuliko mambo ghala ghaghalongelibhu ni Paulo.
Lakini badala ya yule kiongozi wa askari kusikiliza yale Paulo aliyosema, akafuata zaidi ushauri wa nahodha na mwenye meli.
12 Kwandabha bandari jhajhelepi sehemu rahisi kutama wakati bhwa mepu, mabaharia bhingi bhashauriri tusafiriajhi kuhoma pala, ili kwa namna jhejhioha tubhwesiajhi kubhufikila mji bhwa Foinike, tutamayi pala bhwakati bhwa mepu. Foinike ndo bandari okhu Krete, na jhilola kaskazini mashariki ni kusini mashariki.
Kwa kuwa ile bandari ilikuwa haifai kukaa wakati wa majira ya baridi, wengi wakashauri kwamba tuendelee na safari wakitarajia kufika Foinike na kukaa huko kwa majira ya baridi. Hii ilikuwa bandari iliyoko katika kisiwa cha Krete ikikabili upande wa kusini-magharibi na kaskazini-magharibi.
13 Mp'ongo ghwa kusini bho bhujhendili kubhuma molimoli, mabaharia bhakafikirira kujha bhamalili kukabha kya bhakilondeghe. Bhakajhonja nanga ni kusafiri mundemandema jha Krete karibu ni pwani.
Upepo mtulivu ulipoanza kuvuma toka kusini, wakadhani kuwa wangeweza kufikia lengo lao, hivyo wakangʼoa nanga na kusafiri wakipita kandokando ya pwani ya kisiwa cha Krete.
14 Lakini baada jha muda mfupi mp'ongo n'kali, bhwabhukutibhweghe bhwa kaskazini mashariki, ukajhanda kututobha kuhoma kwiselya jha kisiwa.
Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
15 Wakati meli ijhelemibhu ni kushindwa kubhukali mp'ongo, tukajhedekelana ni hali ejhu, tukasafirisibhwa nabhu.
Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.
16 Tukajhumba kup'etela lubhafu lwa luukingighe mp'ongo bhwa kisiwa kyakikutibhweghe Kauda; ni kwa taabu sana twafanikibhu kuokola bhwatu.
Hatimaye tukisafiri kupita chini ya kisiwa kidogo kiitwacho Kauda, ambapo kwa kuwa tulikuwa tumekingiwa upepo na hicho kisiwa, tuliweza kwa shida kuifunga mashua ya kuokolea watu.
17 Baada jha kujha bhabhufutili, bhatumili ngojhi kuuk'onga meli. Bhatileghe kujha ngatubhwesi kulota ku lieneo lya n'sanga ghumehele lya Syiti, hivyo bhakaselesya nanga na bhagendesibhu mundemandema.
Watu walipokwisha kuivuta mashua hiyo na kuiingiza katika meli, waliifunga kwa kamba chini ya meli yenyewe ili kuzishikanisha pamoja. Wakiogopa kupelekwa kwenye mchanga karibu na pwani ya Sirti, wakashusha matanga wakaiacha meli isukumwe na huo upepo.
18 Twatobhibhu kwa nghofu sana ni linyegha, hivyo ligono lyalyifwatili mabaharia bhakajhanda kusopa misighu kuhoma mu meli.
Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini.
19 Ligono lya tatu, mabaharia bhakayanda kup'omba masi kwa mabhoko gha bhene.
Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
20 Wakati ambapo lijobh ni litondo syatumuliki lepi kwa magono mingi, bado linyegha libhaha lyatutobhili, ni matumaini kujha tubetakuokolibhwa ghabhokili.
Kulipokuwa hakuna kuonekana kwa jua wala nyota kwa siku nyingi, nayo dhoruba ikiwa inaendelea kuwa kali, hatimaye tulikata kabisa tamaa ya kuokoka.
21 Baada jha kujha bhalotili muda mrefu bila kyakulya, apu Paulo akajhema pagati pa mabaharia akajobha, “Bhagosi, mlondekeghe mnip'elekesiajhi, ngatubhokilepi kuhoma Krete, ili kukabha agha madhara ni hasara.
Baada ya watu kukaa siku nyingi bila kula chakula, Paulo akasimama katikati yao akasema, “Enyi watu, iliwapasa kunisikiliza na kuacha kusafiri baharini kutoka Krete, ndipo ninyi mngekuwa mmejinusuru na uharibifu huu na hasara hii.
22 Na henu nikabhafariji mkipelayi muoyo, kwa ndabha kubetalepi kujha ni upotefu bhwa maisha kati jha muenga, isipokujha hasara jha meli tu.
Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo mkuu kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia.
23 Kwa ndabha kiru kya kilotili malaika ghwa K'yara, ambajhe K'yara ojhu nene ne ghwa muene, ni ambajhe nikamwabudi kabhele - malaika ghwa muene ajhemili palubhafu pa nene
Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ambaye ninamwabudu alisimama karibu nami,
24 ni kujobha, “Usitili Paulo. Lazima ujhemayi palongolo Kaisari, na langayi, K'yara ku bhunofu bhwa muene akupelili abha bhoha ambabho bhisafiri pamonga ni bhebhe.
naye akasema, ‘Paulo usiogope, kwa kuwa ni lazima usimame mbele ya Kaisari, naye Mungu amekupa kwa neema uhai wa wote wanaosafiri pamoja nawe.
25 Efyo, bhagosi, mukipelayi muoyo, kwandabha nikan'kier K'yara, kujha ibetakujha kama kyanibhajobhili.
Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’
26 Lakini lazima tulamatayi kwa kutobhibhwa mu baadhi jha fisibhwa.”
Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.”
27 Bho ufikili kiru kya kumi na nne, bho twigendesibhwa okhu ni okhu mu bahari jha Adratik, kama kiru kya manane naha, mabaharia bhafikirileghe kujha bhikaribila kundema.
Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu.
28 Bhatumili milio kup'ema kina kya masi nabhakabhaka mita thelathini na sita, baada jha muda mfupi bhakap'ema kabhele bhakakabha mita ishirini na sita, baada jha muda mfupi bhakap'ema kabhele bhakakabha mita ishirini na saba.
Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini, baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.
29 Bhatilili kujha bhibhwesya kugonga miamba, hivyo bhakaselesya nanga sinchenche kuhomela sehemu jha lukhela jhihidayi manyata.
Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke.
30 Bhala mabaharia bhakajha bhilonda bhaselisi maboti mu masi madebemadebe gha kuokolela maisha, na bhakajha bhikifuanya bhisopa nanga pa sehemu jha palongolo jha liboti.
Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.
31 Lakini Paulo akan'jobhela jhola askari ghwa jeshi la Kiroma ni bhala askari, “Mwibhwesya lepi kuokoka isipokujha bhanu abha bhibakila mu meli”.
Ndipo Paulo akamwambia yule jemadari na askari, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokoka.”
32 Kisha askari bhala bhakadumula mighojhi jha liboti ni kujhileka jhitolibhwayi ni masi.
Hivyo basi wale askari wakakata kamba zilizoshikilia ile mashua ya kuokolea watu kwenye meli, wakaiacha ianguke humo baharini.
33 Wakati mwanga ghwa lukhela ghwihoma, Paulo akabhasihi bhoha angalau bhala bhadebe. Akajobha, “Ejhe ligono lya kumi na nne mwilendela bila kulya mlilepi khenu.
Kabla ya mapambazuko, Paulo akawasihi watu wote wale chakula akisema, “Leo ni siku ya kumi na nne mmekuwa katika wasiwasi mkiwa mmefunga na bila kula chochote.
34 Hivyo nikabhasihi mtolayi kyakulya kidebe, kwandabha ejhe kwandabha jha kuishi kwa muenga; na lujhelepi hata lujhusili lumonga pamitu ghya jhomu lwalibetakujhagha.
Kwa hiyo nawasihi mle chakula, kwa maana itawasaidia ili mweze kuishi. Kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza unywele hata mmoja kutoka kichwani mwake.”
35 Abhoamali kujobha aghu, akalota n'kate akan'shukuru K'yara palongolo jha mihu gha khila munu. Kisha akaumetula n'kate akajhanda kulya.
Baada ya kusema maneno haya, Paulo akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega akaanza kula.
36 Kisha bhoha bhakapelibhwa muoyo na bhene bhakalota kyakulya.
Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
37 Twajhele bhanu 276 mugati mu meli.
Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
38 Bho bhalili fya kutosha, bhaibhombi meli mbepe kwa kutagha ngano mu masi.
Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
39 Bhojhifikiri pamusi, bhajhitambuili lepi kundema, lakini bhakabhona sehemu jha kundema jhajhingili mmasi jhajhijhele ni n'sanga mwingi. bhakajadiliana kama bhibhwesya kugendesya meli kulota apu.
Kulipopambazuka, mabaharia hawakuitambua ile nchi, lakini waliona ghuba yenye ufuko wa mchanga, ambako waliamua kuipweleza meli kama ingewezekana.
40 Hivyo bhakesihobhosya nanga bhakasileka mmasi. Katika muda bhobhuobhu bhakasihobhosya mighojhi jha nanga ni kujhijhinula sehemu jha palongolo kulotela ku mp'ongo, hivyo bhakalota sehemu jha nsanga bhumehele.
Kwa hiyo wakatupa nanga zote na kuziacha baharini, na wakati huo huo wakalegeza kamba zilizokuwa zikishikilia usukani wa meli. Kisha wakatweka tanga la mbele lishike upepo na kuisukuma meli kuelekea pwani.
41 Lakini bhakahida mahali ambapo miela mibhele ghya masi ghibhonana, ni meli jhikalota kun'sanga. Ni jhela sehemu jha palongolo jha meli jhakwamili pala na jhabhwesilepi kubhoka, lakini sehemu jha palongolo jha meli jhikajhanda kudumuka kwa ndabha jha ukali ghwa manyegha.
Lakini wakafika mahali ambapo bahari mbili zinakutana, wakaipweleza meli ufuoni, omo ikakwama sana, ikawa haiwezi kuondolewa, lakini sehemu ya shetri ikavunjika vipande vipande kwa kule kupiga kwa mawimbi yenye nguvu.
42 Mpango ghwa bhala askari bhwajhele kubhakoma bhafungwa, ili kwamba ajhelepi ambajhe ngaasoghili ni kutoroka.
Wale askari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
43 Lakini jhola askari ghwa jeshi lya Kiroma alondeghe kumwokola Paulo, hivyo akabhujhemeka mpango bhwa bhene; ni kubhaamuru bhala ambabho bhibhwesya kusogha, bharukayi kuhoma mu meli hoti na bhalotayi kundema.
Lakini yule jemadari alitaka kuokoa maisha ya Paulo, basi akawazuia askari wasitekeleze mpango wao. Akaamuru wale wanaoweza kuogelea wajitupe baharini kwanza, waogelee mpaka nchi kavu.
44 Kisha bhagosi bhamana bhakakesya, bhangi panani pa fenu fenge kuhoma mu meli. Kwa njela ejhe jhatokili bhoha twibeta kufika kinofu kundema.
Waliosalia wangefika nchi kavu kwa kutumia mbao au vipande vya meli iliyovunjika, hivyo ikatimia kwamba wote wakaokoka na kufika nchi kavu salama.

< Matendo ya Mitume 27 >