< Matayo 25 >

1 Uu utemi wakilunde ukipyanigwa neawali nikuminaahole intala yao ekalongola kumupokela ubwana nuawinga.
“Wakati huo, Ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
2 Antaano ao ae apungu nawa neangiza ataano aeaelewa.
Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara.
3 Eanawali neapungu ekahola intala yao, shanga ekahola emakuta.
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
4 Hange aenawali awa neaelewa ekahola iseme yao nemakuta palungwi ni ntala yao.
Lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.
5 Imatungo yayo Ubwana nuawinga naushelewe kupika, ehi akahung'wa tolo ekalala.
Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.
6 Lakini utiku wakatekate akakakuta ngwano,''Goza, ubwana nuawinga! Pumi kunzi mumusingeelye.
Usiku wa manane kukawa na kelele: Haya, haya! Bwana arusi anakuja; nendeni kumlaki.
7 Uu neenso enawali ehi akauka ekakakelya intala yao.
Hapo wale wanawali wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
8 Awa neapunga ekaaela awa neelewa, 'Mukongelye esehemu amakuta anyu kunsoko intala yitu yukulima.'
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.
9 Lakini awa neaelewa ekaasukilya ekaaela, 'Kunsoko shanga akutosilye unyenye nusese, kuite longoli kwa awaneegulya miguelye ekeasi kanyu nekemutosilye.
Lakini wale wenye busara wakawaambia, Hayatatutosha sisi na ninyi! Afadhali mwende dukani mkajinunulie wenyewe!
10 Imatungo naalongoe neanso kugula, Ubwana wawinga wekapika, ne matungo naakole tayali aeendile nang'wenso kushelehe awinga, numulango wikalugailwa.
Basi, wale wanawali wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi akafika, na wale wanawali waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la arusi, kisha mlango ukafungwa.
11 Baadae enawali neangiza naapikile ekalunga, ''Bwana, bwana, kulungwile.''
Baadaye wale wanawali wengine wakaja, wakaita: Bwana, bwana, tufungulie!
12 Lakini akaasukelya nukulunga,'Etai kumuela, shanga numumanyile.
Lakini yeye akawajibu, Nawaambieni kweli, siwajui ninyi.”
13 Kuite gozi, kunsoko shangamuihe ematungo luhiku ang'wi saa.
Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
14 Kuite sawa numuntu nautakile kusafili kulongola ihe ngeza aeutangile eatugwa akwe nukuapa ugole wakwe.
“Itakuwa kama mtu mmoja aliyetaka kusafiri ng'ambo: aliwaita watumishi wake, akawakabidhi mali yake.
15 Ung'wiao wekamupa talanta itaano, uyu numungiza wekamupa ibeele, nuyuite wekamupa eng'wi. Kela ung'wiao aupokee kiasi kulengana nuuwezo wakwe, numuntu nuanso weka safili kulongola yakwe.
Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja sarafu tano za fedha ziitwazo talanta, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.
16 Mapema uyu naupokee entalanta niitano wikalogola wekaelya, nukutugisa talanta itaano hange.
Mara yule aliyekabidhiwa talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano.
17 Uu uu nuyu naeupokee italanta nibeele, aeutugizilye ni nzuya ibeele.
Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.
18 Lakini umutugwa naeupokee talanta eng'wi, wikalongola yakwe wikahemba ishimu pihe, ite wikamepiha empia ang'wa bwana akwe.
Lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaenda akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
19 Na baada matungo malepu, Ubwana watungwa neanso wekasuka nukuzepelya emaesabu neenso.
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
20 Umutugwa nuanso nausengeeye italanta niitano auzile wikaleta ningeeza itaano. wikalunga, Bwana, azumpee talanta iitano. Goza napata efaeda atalanta ngiza itaano.
Mtumishi aliyekabidhiwa talanta tano akaja amechukua zile talanta tano faida, akamwambia, Bwana, ulinikabidhi talanta tano, hapa pana talanta tano zaidi faida niliyopata.
21 Ubwana akwe wikamuila,'' Hongera, mutugwa numuza nuuhueli! Umuhueli kuintu niino. Kuupa emadalaka migulya kuintu niidu. Ingele muiloelyi wang'wa Bwana ako.
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.
22 Umutugwa nausengeye italanta niibeele wekeza nukulunga, Bwana, aumpee talanta ibeele. Goza napata faeda atalanta geza ibeele.
“Mtumishi aliyekabidhiwa talanta mbili akaja, akatoa talanta mbili faida, akisema, Bwana, ulinikabidhi talanta mbili. Chukua talanta mbili zaidi faida niliyopata.
23 Ubwana akwe wekamuela,''Hongeeli mutugwa numuza nuuhueli kumaintu nemakehu. Kuupa emadalaka migulya kumaintu needu. Ingile wiloelye mung'wa Bwana ako.''
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.
24 Baadae umutugwa naupokee etalanta neng'we aewezie wekalunga,''Bwana, nengile kina uewe umuntu mutaki wevuna pang'wanso neshanga uhusekile.
“Lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, Bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.
25 Unene nekogopa, nekenda yane nekapiha etalanta akopihe. Goza, ukete hapa nekako.''
Niliogopa, nikaificha fedha yako katika ardhi. Chukua basi mali yako.
26 Lakini ubwana wikamusukilya wekalunga. 'Uewe umutugwa mubee, aulengile kina nekala pang'wanso neshanga ntemee nukuvuna pang'wanso neshanganihusekile.
“Bwana wake akamwambia, Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.
27 Kuite aeizepie kuapa empia ane entu abenki, nematungo naensukile kung'wane aezemesengelya nane palung'wi nefaeda.
Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu katika benki, nami ningelichukua mtaji wangu na faida yake!
28 Apa muhegelyi etalanta nanso mumupe utugwa nukete talanta nikumi.
Basi, mnyang'anyeni hiyo fedha mkampe yule mwenye talanta kumi.
29 Kila umuntu nukete nekakwe, okongeligwa ikulu ata ukuzidisheligwa. Lakini kwa uyu nemugila ekentu, ga nekenukete ukuhegeligwa.
Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
30 Mugumi kunzi kukiti umutugwa nuanso neshanga ufaile hange ikutula kelelo nukukelya emino!
Na kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni nje gizani! Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
31 Ematungo ung'wa Adamu nuekeza nuutukufu wakwe, naealaeka ehi palung'wi nung'wenso, Uu ukikie migulya ituntu lakwe nuutukufu.
“Wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote wakiwa pamoja naye, hapo ataketi juu ya kiti chake cha enzi kitukufu,
32 Indugu yehi ikilingeela ntongeela akwe, nung'wenso ukuabagala eantu. Anga umudemi nuebagula inkolo nimbuli.
na mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.
33 Ukuieka inkolo mukono wakwe nuwakigoha, ite ukiekaimbuli mokono wankege.
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
34 Ite umufalme ukuaela awa nea mukono wakegoha, Nzii, nemukembetilwe nu Tata anyi, usali ufalme nauandalewe kunsoko anyu kupuma ukuekwa emesingi au nkumbigulu.
“Kisha Mfalme atawaambia wale walio upande wake wa kulia, Njoni enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
35 Hange aenkete nzala mekampa indya; Ae nemugeni mukankalibisha.
Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha;
36 Ae nkole kepwe, mekantugala eang'wenda; Ae numulwae mekantunza; Ae nkole muketungo mukangoza!
nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.
37 Uu awa neatai akumusukelya nukumuela, Bwana, Nale aekukuine ukete nzala kekakulesa? Ang'wi ukete nyota kekakupe maze? Hange nale nae kukuine umugeni kekaku kalibisha? Ag'wi ukete nyota kekakupa emaze?
Hapo, hao watu wema watamjibu mfalme Bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?
38 Ang'wi nale naekukuine umugeni nakekakukalibesha? Hange umugila anga lang, wenda kekakutugala eang'wenda?
Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?
39 Ang'wi nale naeumulwae, ang'wi ukole muketungo kekeza kuugoza?
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?
40 Na umufalme ukuasukelya, etai kumuela, naemutendile apaite kung'wi anyandugu ane neanino, aemuntendee nene!
Mfalme atawajibu, Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.
41 Kuite ukuaela awa neakole umukono wakwe nuankege; Hegi kitalane unye nemukete emasatiko, Longoli kumoto nua kulenakale naeuandalewe kunsoko ang'wa shetani neamalaeka akwe; (aiōnios g166)
“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa Ibilisi na malaika wake. (aiōnios g166)
42 Kunsoko aenkete nzala shanga mekakumpa indya; Ae nkete nyota shanga kekakupa emaze;
Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
43 Ae nemugeni shanga mekankalibisha; Ae nkolekepwe shanga mekampa eang'wenda; Ae nemulwae ae ntungilwe kuite shanga mekangoza.
Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.
44 Au nawa neanso aku musukelwa nukulunga, Bwana nale naekukuine ukete nzala ang'wi nyota, ang'wi umugeni, ang'wi ukepwe ang'wi umulwae, ang'wiutungilwe, shanga kekakuhudumela?
“Hapo nao watajibu, Bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?
45 Ite ukuasukelya nukulunga,''Etai kumuela, eke neshanga aemuatendee awa neanino, shangaae muntendee anga nene.
Naye atawajibu, Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.
46 Awaite inzu kuazabu akale nakale kuite awa neatai upanga wakale na kale.'' (aiōnios g166)
Basi, hawa watakwenda kwenye adhabu ya milele, lakini wale waadilifu watakwenda kwenye uzima wa milele.” (aiōnios g166)

< Matayo 25 >