< Revelation 2 >
1 "To the angel of the church in Ephesus write: "He who holds the seven stars in his right hand, he who walks among the seven golden lampstands says these things:
“Kwa malaika wa likanisa lya Efeso uandike,'Haga nga maneno ga yulo ywakamulya yilo ndondwa saba katika luboko lwake lwa mmalyo. Ywembe ywatyanga kati ya inara ya dhahabu ya taa saba abaya nyaa,
2 "I know your works, and your toil and perseverance, and that you cannot tolerate those who are evil, and have tested those who call themselves apostles, and they are not, and found them false.
“Ndangite chaupangite na bidii yako ya lyengo na komea kwako muno, na kwamba huwecha kwaa husiana nabo bababile alau, na ulikuapaya boti babaikema panga mitume na nyoo kwaa, nababonekana abocho.
3 You have perseverance and have endured for my name's sake, and have not grown weary.
Ndangite uwecha lindaa, na komeya, na upilile maingi kwasababu ya lina lyangu, na unachoka kwaa bado.
4 But I have this against you, that you left your first love.
Lakini lenga lanibilenalo kwa ajili yako, ulekite upendo wako wa patumbu.
5 Remember therefore from where you have fallen, and repent and do the first works; or else I am coming to you, and will move your lampstand out of its place, unless you repent.
Kwahiyo ukumbukii pautumbwize, ukatubu na panga matendo ga upangite tangu patumbuu mana utubu kwaa naicha kwako na kukibaya kinara chako buka mahali pake.
6 But this you have, that you hate the works of the Nicolaitans, which I also hate.
Lakini wenga una lino, ukachilikia galo ambago wanikulau ghaba ga panga, ambago hata nenga nenda kachilika.
7 He who has an ear, let him hear what the Spirit says to the churches. To him who overcomes I will give to eat of the tree of life, which is in the Paradise of God.
Mana uina lichikilo upikani galo ambago Roho agabakia makanisa. Na kwa ywembe ywashinda nampeya kibali cha lya buka katika mkongo wa ukoto wa ubile katiakparadiso ya Nnungu.'
8 "To the angel of the church in Smyrna write: "The first and the last, who was dead, and has come to life says these things:
Kwa malaika wa kanisa la Smirna uandike: 'Haga nga maneno ga yolu ambaye nga ywa tubwa na mwisho ambaye atiwaa na panga nkoto kaii.
9 "I know your tribulation and your poverty (but you are rich), and the blasphemy of those who say they are Jews, and they are not, but are a synagogue of Satan.
Nigatangite mateso gako na umasikini wako (lakini wenga wa tajiri) na ubocho wa balo babaikema Mayahudi (lakini bembe kwaa lisinagogi la nchela).
10 Do not be afraid of the things which you are about to suffer. Look, the devil is about to throw some of you into prison, that you may be tested; and you will have oppression for ten days. Be faithful until death, and I will give you the crown of life.
Kana uyogope mateso gaga kupata linga! ibilisi apata kutahikwa kati yinu muligereza linga apate kupaya na mpateseka kwa machuba komi. Mube mwaminifu mpaka waa na napeye kofia ya ukoto.
11 He who has an ear, let him hear what the Spirit says to the churches. He who overcomes won't be harmed by the second death.
Mana ubile na lichikilo upikanii Roho agabakiya maknisa ywembe ywa shinda hapata kwaa matatizo awaa kwaa mara ya ibele.
12 "To the angel of the church in Pergamum write: "He who has the sharp two-edged sword says these things:
“Kwa malaika wa kanisa la Pergamo andika: haga ngalongela ywembe na alyo lipanga lika kwaa, wena maka kwaa kuno na kuno.
13 "I know where you dwell, where Satan's throne is. You hold firmly to my name, and did not deny my faith even in the days of Antipas, my witness, my faithful one, who was killed among you, where Satan dwells.
“Nipatangite pa tama mahali pa kibile kitigo cha enzi cha nchela. Hata nyoo wenga wanda kulikamwa sana lina lyangu na huikani kwaa imani yako ya ibile kwangu, hata machuba galo ga Atipasi shahid ywangu mwaminifu ywangu, ywawile nkati yinu, hapo nga nchela pa tama.
14 But I have a few things against you, because you have there some who hold the teaching of Balaam, who taught Balak to throw a stumbling block before the children of Israel, to eat things sacrificed to idols, and to commit sexual immorality.
Lakini ni ikowe njini husu wenga: ubile nabo kwo bandu babakamwa mafundisho ga Balagumu, ywembe ywamfundishike Balaki bika ikwazo nnungi ya bana ba Israel, linga balye yukulya yabapiyite sadaka kwa nnungu wabe na tenda umalaya.
15 So you also have some who hold to the teaching of the Nicolaitans likewise.
Katika hali yino, hata wenga ubile nabo baadhi yabe babakamwa mapundisho ga Banikolai.
16 Repent therefore, or else I am coming to you quickly, and I will make war against them with the sword of my mouth.
Basi utubu! na mana upangite kwaa nyoo nenda icha upesi na napanga vita nawe na lipanga lolipita katika mukano wango.
17 He who has an ear, let him hear what the Spirit says to the churches. To him who overcomes, to him I will give of the hidden manna, and I will give him a white stone, and on the stone a new name written, which no one knows but he who receives it.
Mana ui a machikilo upikani Roho chaabakia makanisa. Yulo ywashinda aampeya baadhi ya yilo mana yaihiyilwe, na nampea liwe lyu laliandikwe lina lya ayambi manani ya liwe, lina ambalo ntupu ywalitangite ila ywembe ywalipokya.”
18 "To the angel of the church in Thyatira write: "The Son of God, who has his eyes like a flame of fire, and his feet are like burnished bronze, says these things:
“Kwa malaika wa kanisa lya Thiatira uandike: haga nga maneno ga mwana wa Nnungu, ywembe ywa bile na minyo gake kati mwali wa mwoto, na njayo kati shaba yabaikulike sana.
19 "I know your works, your love, faith, service, patient endurance, and that your last works are more than the first.
Ndangite ambacho chakipangite upendo wako na imani na uduma na komea kwako imala, na kwamba chilo chaupangite karibuni zaidi ya chilo chaupangite polongoi.
20 But I have this against you, that you tolerate the woman, Jezebel, who calls herself a prophetess. She teaches and seduces my servants to commit sexual immorality, and to eat things sacrificed to idols.
Lakini nina lee husu wenga: mwenda kunkomeya nnwawa Yezebeli waikema mwene nabii nnwawa, kwa mapundisho gake, aposha utumishi bandu panga umalaya na lya chakulya chakipiyilwe sadaka kwa kinyago.
21 I gave her time to repent, but she refuses to repent of her sexual immorality.
Nampeile muda wa tubu lakini abile kwaa tayari tubu kwa ulau wake.
22 Look, I will throw her into a sickbed, and those who commit adultery with her into great oppression, unless they repent of her works.
Linga natikutaikwa pa kindanda cha matamwe, na balo babapanga wesherati na ywembe katika mateso makali, kwalei batubu kwa cha bapangite.
23 I will kill her children with Death, and all the churches will know that I am he who searches the minds and hearts. I will give to each one of you according to your deeds.
Naakumbwa banabake bawee na makanisa goti batanga kwamba nenga nga niyachunguza mawacho na tamaa. Nampeya kila yumo kadili ya matendo gake.
24 But to you I say, to the rest who are in Thyatira, as many as do not have this teaching, who do not know what some call 'the deep things of Satan,' to you I say, I am not putting any other burden on you.
Lakini kwa baadhi yinu mwamuigabile katika Thiatira kwa balo boti mwangali kamwa mafundisho kwaa, na mwangali tanga cholo ambachon baadhi uikemaa mfumbo ga nchela mbaya kwinu mbikali panani yinu nchigo wowoti.
25 Nevertheless, hold that which you have firmly until I come.
Kwa jambo lyolyoti lazima mube imara mpaka paniicha.
26 He who overcomes, and he who keeps my works to the end, to him I will give authority over the nations.
Yeyote ywa shinda na panga chalo chanikipangite hadi mwisho ywembe nampeya mamlaka katika ilambo.
27 He will rule them with an iron scepter, shattering them like clay pots; as I also have received of my Father:
Abakuatawala kwa bakola ya chuma, kati bakuli ya ukando, atekwana ipande ipande.
28 and I will give him the morning star.
Kati mwaipokile buka kwa Tati bangu nampeya kaye ndondwa ya kindai.
29 He who has an ear, let him hear what the Spirit says to the churches.
Mana ubile na lichikilo upikani chalo ambacho Roho aya bakiya makanisa.