< Hebrews 12 >

1 Therefore let us also, seeing we are surrounded by so great a cloud of witnesses, lay aside every weight and the sin which so easily entangles us, and let us run with patience the race that is set before us,
Kwa eyo, kwa mana tumezungukwa na liunde likolo lya mashahidi, tutupe kila kilebe chatulemea pamope ni sambi yaibile yatuzingira kiurahisi. Tupange mbio kwa saburi katika mashindano yabekilwe nnongi yitu.
2 looking to Jesus, the founder and completer of the faith, who for the joy that was set before him endured the cross, disregarding its shame, and has sat down at the right hand of the throne of God.
Tugaelekeze minyo yitu kwa Yesu, ywabile mwanzilishi na ywaitimiza imani yitu, ambaye kwa ajili ya puraha ibekilwe nnongi ya ywastamili msalaba, mana atiidharau kiya yake, na tama pae luboko lwa kummalyo lwa iteo sa enzi sa Nnongo.
3 For consider him who has endured such hostility from sinners against himself, so that you may not become tired and give up.
Mana mumfikirie ywembe ywastamili maneno ga chuki boka kwa babile ni sambi, dhidi yake mwene ili panga muise kwaa muchokite au kuzimya mioyo yinu.
4 You have not yet resisted to the point of shedding blood in your struggle against sin;
Mwataabika kewaa au teseka pamushindana na sambi kiasi cha ishiwa na mwai.
5 and you have forgotten the exhortation which reasons with you as with sons, "My son, do not take lightly the discipline of the Lord, nor lose heart when you are corrected by him.
Mwasahau kae kolo kutiwa mwoyo ambako kunabaelekeza kati bana analome: “Mwana wango. kana ugatole kwa wepesi maruda ga Ngwana, wala kana ukate tamaa paurekebishilwe ni ywembe.”
6 For whom the Lord loves he disciplines, and punishes every son he accepts."
Kwa mana Ngwana humwazibu yeyote ywaampendile, na kumwadhibu kila mwana ywabile ampokya kwaa.
7 If you are enduring discipline, God is dealing with you as sons. For what son is there whom his father does not discipline?
Mustahimili majaribu kati kurudiwa. Nnongo hushughulika ni mwenga kati ywashughulika na bana, mana ni mwana gani ambae tate bake aweza kwaa kumwazibu?
8 But if you are without discipline, of which all have been made partakers, then you are illegitimate, and not sons.
Lakini mana ntopo adhibiwa, ambako twenga twabote twashiriki, bai ni mwenga ni haramu na bana bake kwaa.
9 Furthermore, we had earthly fathers who disciplined us, and we paid them respect. Should we not much rather be subject to the Father of spirits, and live?
Zaidi ya yote, tubile na tate bitu mu'dunia ba kutuazibu, na twatibaheshimiya. Je tupalikwa kwaa hata zaidi kumweshimu Tate ba kiroho na tama?
10 For they indeed, for a few days, disciplined us as seemed good to them; but he for our profit, that we may be partakers of his holiness.
Hakika tate bitu batituazibu kwa miaka michunu kati yatibenekana sawa kwabe, lakini Nnongo utuazibu kwa faida yitu ili tushiriki utakatifu wake.
11 All discipline seems for the moment painful, not joyful; yet afterward it yields the peaceful fruit of righteousness to those who have been exercised thereby.
Ntopo azabu yaipuraisha kwa muda woo. Upangika na matamwe. Hata nyo, baadaye upambika tunda lya amani ya utauwa kwa balo bapundishilwe nabo.
12 Therefore, lift up the hands that hang down and the feeble knees,
Kwa eyo muinue maboko ginu yailegea na kupanga magoti yinu gabile dhaifu kuwa gabile ni ngupu kae;
13 and make straight paths for your feet, so that which is lame may not be dislocated, but rather be healed.
Munyoshe mapito ga nyayo yinu, ili panga yeyote ywabile mlemavu ayongoli kwaa upotevuni lakini apate kuponywa.
14 Pursue peace with everyone, and the sanctification without which no one will see the Lord,
Muipale amani na bandu bote, na utakatifu kae ambao bila huo ntopo ywamwona Ngwana.
15 looking carefully lest there be anyone who falls short of the grace of God; that no root of bitterness springing up cause trouble, and by it many become defiled;
Mube baangalifu ili panga abile kwaa ywatengwa kutalu na neema ga Nnongo, na panga iise kwaa shina lya uchungu lyalowa chipuka na kusababisha shida na kukerebuya benge.
16 that there be no sexually immoral or profane person like Esau, who sold his own birthright for one meal.
Mulolekeye kuwa ntopo umalaya au mundu ywabile kwaa mtauwa kati yaa Esau, ambaye kwa sababu ya mlo umo atipemeya haki yake ya belekwa.
17 For you know that even when he afterward desired to inherit the blessing, he was rejected, for he found no place for a change of mind though he sought it diligently with tears.
Kwa mana mutangite panga baadaye, atitamaniya kurithi baraka, atikanikiwa, kwa sababu apatike kwaa fursa ya tubu pamope ni tate bake, hata ingawa agapalike muno kwa machozi.
18 For you have not come to something that might be touched, and that burned with fire, and darkness, gloom, and storm,
Kwa mana muisa kwaa katika kitombe ambazo waweza kwaa kamwa. Nnema watiyaka mwoto, libendo, kukatisha tamaa na dhoruba.
19 the sound of a trumpet, and the voice of words; which those who heard it begged that not one more word should be spoken to them,
Mwaisa kwaa kwa lilobe lya tarumbeta, au kwa maneno gabokana na lilobe ambalo lyatisababisha kila baliyowine balobe kwaa neno lolote longela kwabe.
20 for they could not stand that which was commanded, "If even an animal touches the mountain, it must be stoned;"
Kwa mana baweza kwaa vumiliya chelo chaamuliwa: “Mana itei hata mnyama ywakamwile kitombe, lazima akombolwe ni maliwe.”
21 and so fearful was the appearance, that Moses said, "I am terrified and trembling."
Ya yogopeya muno yaagabweni Musa abayite, “Namuogopeya muno kiasi cha lendema.”
22 But you have come to Mount Zion, and to the city of the living God, the heavenly Jerusalem, and to innumerable multitudes of angels,
Baada yake, muisile pakitombe sa Sayuni na katika mji wa Nnongo ywabile nkoto, Yerusalemu ya kumaunde, na kwa malaika elfu komi batisherehekea.
23 to the assembly of the firstborn who are enrolled in heaven, to God the Judge of all, to the spirits of righteous people made perfect,
Muisile katika kusanyiko lya abeleki ba kwanza bote, na kwa roho ya batakatifu ambao batikamilishwa,
24 to Jesus, the mediator of a new covenant, and to the blood of sprinkling that speaks better than that of Abel.
Muisile kwa Yesu mpatanishi ba agano lyaayambe, na kwa mwai yainyunyuzilwe ambayo ulongela mema zaidi kuliko mwai ya Habili.
25 See that you do not refuse him who speaks. For if they did not escape when they refused him who warned on the earth, how much more will we not escape who turn away from him who warns from heaven,
Linga kuwa kana uise ukamkataa yumo ywaalongela. Kwa kuwa mana batiepuka babile kunkataa yumo ywabile baonya dunia, kwa hakika twaepuka kwaa mana itei twakerebuka kutalu boka kwa yolo ywatukanya boka kumaunde.
26 whose voice shook the earth then, but now he has promised, saying, "Yet once more I will shake not only the earth, but also the heavens."
Kwa muda woo lilobe lyake lyatitikisa dunia. Lakini nambeambe atiahidi na longela, “Bado mara yenge kae nalowa tikisa kwaa dunia kichake, ila maunde kae.”
27 This phrase, "Yet once more," signifies the removing of those things that are shaken, as of things that have been made, that those things which are not shaken may remain.
Maneno aga, “Mara jimo kae,” ibonekeya kutoweshwa kwa ilebe ya ilendemeshwayo, ayee nga, ilebe ambayo iumbwile, ili panga yelo ilebe yalendema kwaa vibakie.
28 So since we are receiving a Kingdom that cannot be shaken, let us give thanks, through which we may offer service pleasing to God, with reverence and awe,
Kwa eyo, tupokii upwalume ambao ulendema kwaa, twapuraika katika hali ya kumwabudu Nnongo kwa yeketya pamope na nyenyekeya katika chelo.
29 for our God is a consuming fire.
Kwa mana Nnongo witu ni mwoto waulyaa.

< Hebrews 12 >