< Philippians 1 >
1 Paul and Timotheus the seruants of IESVS CHRIST, to all the Saintes in Christ Iesus which are at Philippi, with the Bishops, and Deacons:
Paulo na Timotheo atumwa ba yesu kristo, kwabalo babatengwile katika kristo baba tana filipi, pamope na babaangalia na mashemasi.
2 Grace be with you, and peace from God our Father, and from the Lord Iesus Christ.
Neema naibile kwinu na amani ya ibaka kwa nnongo tatebitu na nngwana witu yesu kristo.
3 I thanke my God, hauing you in perfect memorie,
nimshukuru nnongo kila panin kombokya mwenga mwabote.
4 (Alwayes in all my praiers for all you, praying with gladnesse)
Mara yote katika kila loba kwanga kwaajili yinu mwenga mwabote. Nenda pulaikaga panimobyaga.
5 Because of the fellowship which ye haue in the Gospel, from the first day vnto nowe.
Ninashukrani yambone kwa sababu ya ushirika winu katika injili tango masobagakwanza mpaka leno.
6 And I am persuaded of this same thing, that he that hath begunne this good worke in you, wil perfourme it vntill the day of Iesus Christ,
Nina hakika kwamba hwembe hwatumbulisha kazi njema nkatiyinu ayendelwa kwikamilisha mpaka lisoba la nngana yesu kristo.
7 As it becommeth me so to iudge of you all, because I haue you in remembrance that both in my bands, and in my defence, and confirmation of the Gospell you all were partakers of my grace.
Ni sawa kwango kwisikiavyo juu yinu mwanga mwa bote kwasababu nimekie pamoja wango. mana mwenga mubile mwaashirika ayango latika neema katika kwitaba kwango na utetezi na uthibitishaji wango wa injili.
8 For God is my recorde, howe I long after you all from the very heart roote in Iesus Christ.
Nn”ungo nishahidi wango, jinsi mwamibile nashauku juu yinu mwabote katika undani wapendo la kristo yesu.
9 And this I pray, that your loue may abound, yet more and more in knowledge, and in all iudgement,
Naniloba kwamba; upendo winu uyongekeye zaidi katika marifa na ufaham wote.
10 That ye may alowe those things which are best, that ye may be pure, and without offence vntill the day of Christ,
Niloba kaajili ya neno ilimabe nawezo walengana saw, namambo gagabile bora sana. kae nenda kanobya ili besafi pasipo bantia yoyote katika lisoba kristo.
11 Filled with the fruites of righteousnesse, which are by Iesus Christ vnto the glorie and praise of God.
Nakae ili mutweleewe nalitunda lahaki lipatikanelo. katika yesu kristo, kwautukufu na sifa ya nnongo.
12 I would ye vnderstood, brethren, that the things which haue come vnto me, are turned rather to the furthering of the Gospell,
Sasa mwalongo bango, mbala ntange kuwa mamo gagapitike kwango gaipangite injili iyendeli sana.
13 So that my bandes in Christ are famous throughout all the iudgement hall, and in all other places,
Ndio maana kwitabu kwinu katika kristo, itanganikwe kwa alizi baikulu yote na kwakila mundu kae.
14 In so much that many of the brethren in the Lord are boldened through my bandes, and dare more frankely speake the word.
Naa longo bababile kaika nngwana, kwasbabu ya kwitaba kwango, batishawishika nathubutu kulihubiri neno pasipo hofu
15 Some preache. Christ euen through enuie and strife, and some also of good will.
baadhi kweli hala kumtanga kristo kwa fitina naugovi, na kae benge kwania njema.
16 The one part preacheth Christ of contention and not purely, supposing to adde more affliction to my bandes.
Balo babalangaza kristo kwa upendo batangite mbekilwe pano kwaajili ya utetezi wainjili.
17 But the others of loue, knowing that I am set for the defence of the Gospell.
Bali bonge matangaza kristo kwa ubinafsi na kwa nia mbaya. pagani kwasababisha matatizo kwango katika minyororo yango.
18 What then? yet Christ is preached all maner wayes, whether it be vnder a pretence, or syncerely: and I therein ioye: yea and will ioye.
Kwanyo? mjalili, aidha nijalili ndela hibile kwa hila au kakweli, kristo ondatangazwa na katika leno nanda palaikya! ndiyo nenenda palaika.
19 For I knowe that this shall turne to my saluation through your prayer, and by the helpe of the Spirit of Iesus Christ,
Kwa kwaa ndikite leno laleba yugolekwa kwango. Jambo lino huapita kwasababu ya malobo binu na msaada wa roho hua krsisto.
20 As I feruently looke for, and hope, that in nothing I shalbe ashamed, but that with all confidence, as alwayes, so nowe Christ shalbe magnified in my body, whether it be by life or by death.
Lengana na matarajilo gango gawakika nagakweli ni kwamba nibonali oni. Badala yake kwaujqsiri wote kati ambavyo mosabagoli na sasa ndarajila kuwa kristo apala kakatuliwa katika yoga yango, manaibile katika ukoto au katika kiwo.
21 For Christ is to me both in life, and in death aduantage.
Kwa maana kwango, nenga lamanikistro na waa nifaida.
22 And whether to liue in the flesh were profitable for me, and what to chuse I knowe not.
Lakini maa natana katika yoga mboleke litnda katika kazi ya mnongo, kwanyo ndititelii lyako lyakulisawa.
23 For I am distressed betweene both, desiring to be loosed and to be with Christ, which is best of all.
Maana nenda yaleka yega napanga panope na kristo, kilebe ambaso chathamani munomuno.
24 Neuerthelesse, to abide in the flesh, is more needefull for you.
Ingawa igala kwayega yono nijambo la muhimu muna kwaajili yinu.
25 And this am I sure of, that I shall abide, and with you all continue, for your furtherance and ioy of your faith,
Kwa kuwa nible nauakika juu yaleno, nitengite naigala nanayendelya baapamipe namwenga mwbote, kwaajili yamaendeleo na furaha ya imani yhinu.
26 That ye may more aboundantly reioyce in IESVS CHRIST for me, by my comming to you againe.
Nal ino lipaleta furaha yhinu ngolo katika kristo yesu, kwasababu bakwango panope na mwenga.
27 Onely let your conuersation be, as it becommeth the Gospel of Christ, that whether I come and see you, or els be absent, I may heare of your matters that ye continue in one Spirit, and in one mind, fighting together through the faith of the Gospel.
Mpalikwa mahishi maisha ginu katika mwenendo. Mzuri wamipasa injili ya kristo. mpangenyo ilipanaisa kwinu la au mana ninaisali, niyowe nyemeliko imara katika roho jlmo, mwendashinia, imani ya injili kwa panope.
28 And in nothing feare your aduersaries, which is to them a token of perdition, and to you of saluation, and that of God.
nakamantishike nakilebe sosote sakipangilwe na madai ginu. yheno kwabe mishara ya ualibifu. bali kwinu nilishara ya wokovu bokya kwanaongo.
29 For vnto you it is giuen for Christ, that not onely ye should beleeue in him, but also suffer for his sake,
kwamana mwenga mutipeyeliwa kwaajil ya kristo, nimwanilelibai bali nateseka kai katika yhwembe.
30 Hauing the same fight, which ye sawe in me, and nowe heare to be in me.
kwamaa mwina mgogoro wolywolya katika wamubenwikwango namwanda yowa kwamba nibilenao hata mbiya mbeno.