< 2 Corinthians 6 >
1 So we therefore as workers together beseech you, that ye receiue not the grace of God in vaine.
Na kwa eyo, upanga kazi pamope, twendabasihi mwenga kana muipokee neema ya Nnongo pabile kwaa ni matokeo.
2 For he sayth, I haue heard thee in a time accepted, and in the day of saluation haue I succoured thee: beholde nowe the accepted time, beholde nowe the day of saluation.
Kwa kuwa abaya, “Wakati waukubalika nibile makini kwinu, na katika lisoba lya wokovu niliwasaidia.”Linga nambeambe ni wakati waukubaluka. Linga, nambeambe ni lisoba lya wokovu.
3 We giue no occasion of offence in any thing, that our ministerie shoulde not be reprehended.
Twaweka kwaa liwe lya kizuizi nnonge ya mundu yoyote, kwa mana tuitakia kwaa huduma yitu iletwe katika sifa mbaya.
4 But in all things we approue our selues as the ministers of God, in much patience, in afflictions, in necessities, in distresses,
Badala yake, twaihakiki bene kwa makowe yitu yote, panga tu atumishi ga Nnongo. Tubile atumishi bake katika baingi ba ustahimilivu, mateso, dhiki, ugumu wa maisha,
5 In stripes, in prisons, in tumults, in labours,
kukombwa, vifungo, ghasia, katika panga kazi kwa bidii, katika kukosa lugono kilo, katika njala,
6 By watchings, by fastings, by puritie, by knowledge, by long suffering, by kindnesse, by the holy Ghost, by loue vnfained,
katika usafi, maarifa, uvumilivu, wema, katika Roho Mtakatifu, katika upendo halisi
7 By the worde of trueth, by the power of God, by the armour of righteousnesse on the right hand, and on the left,
Tubile abatumishi bake katika eneo lya kweli, katika ngupu ya Nnongo. Tubile ni silaha ya haki kwa ajili ya luboko lwa mmalyo na wa kushoto.
8 By honour, and dishonour, by euill report, and good report, as deceiuers, and yet true:
Twapanga kazi katika hekima na dharauliwa, katika kashfa na sifa. Twatituhumiwa kuwa abocho na wakati tubile wakweli.
9 As vnknowen, and yet knowen: as dying, and beholde, we liue: as chastened, and yet not killed:
Tunapanga kazi napanga twajulikana kwaa na bado twayowanika vizuri. Twapanga kazi kati batiwaa na -Linga!-bado twatama. Twaipanga kazi kati twaazibiwa kwa ajili ya matendo yitu lakini kati kwaa yaabahukumilwe hata waa,
10 As sorowing, and yet alway reioycing: as poore, and yet make many riche: as hauing nothing, and yet possessing all things.
Twaipanga kazi kati wenye masikitiko, lakini masoba gote twabile na furaha. Twaipanga kazi kati maskini, lakini twajihatarisha baingi. Twaipanga kazi kati panga twapata kwaa kilebe kati twatemiliki kila kilebe.
11 O Corinthians, our mouth is open vnto you: our heart is made large.
Twabaya ukweli wote kwinu, Akorintho, na mioyo yitu yatifunguka kwa upana.
12 Ye are not kept strait in vs, but ye are kept strait in your owne bowels.
Mioyo yinu izuiliwa kwaa na twenga, ila mwatizuiliwa na hisia yinu wene.
13 Nowe for the same recompence, I speake as to my children, Be you also inlarged.
Nambeambe katika badilishana kwa haki nalongela kati kwa bana-muipungue mioyo yinu kwa upana.
14 Be not vnequally yoked with the infidels: for what fellowship hath righteousnesse with vnrighteousnesse? and what communion hath light with darkenesse?
Kana mupungamanishe pamope ni baaminiya kwaa. Kwa mana kwabile ni uhusiano gani kati ya haki ni uasi? Ni kwabile ni ushirika gani kati ya bweya ya libendo?
15 And what concord hath Christ with Belial? or what part hath the beleeuer with the infidell?
Ni makubaliano gani Kristo aweza kuwa nayo na Beliari? Au ywembe ywaamiye abile sehemu gani pamope ni ywaaminiya kwaa?
16 And what agreement hath the Temple of God with idols? for ye are the Temple of the liuing God: as God hath said, I will dwell among them, and walke there: and I will be their God, and they shalbe my people.
Na kwabile na kakubaliano gani yabile kati ya hekalu lya Nnongo na lisanamu? Kwa mana twanga ni lihekale lya Nnongo ywabile nkoto, kati ambavyo Nnongo abayite: “Nalowa tama kati yabembe ni ktyanga kati ya bembe. Nalowa pangika Nnongo wa bembe, na bembe bapangika kuwa bandu bango.”
17 Wherefore come out from among them, and separate your selues, saith the Lord, and touch none vncleane thing, and I wil receiue you.
Kwa eyo, “Muboke kati yabembe, mkatengwe nabo,” abaya Ngwana.”Kana mukamwe kilebe kichafu na nalowa kubakaribisha mwenga.
18 And I will be a Father vnto you, and ye shalbe my sonnes and daughters, saith the Lord almightie.
Nalowa pangika kuwa Tate kwinu, ni mwenga mwalowa pangika bana bango analome na anwawa, “abaya Ngwana Mwenyezi.