< 诗篇 133 >

1 大卫上行之诗。 看哪,弟兄和睦同居 是何等地善,何等地美!
Tazama, jinsi ilivyo vema na yakupendeza ndugu waishi pamoja, kwa umoja!
2 这好比那贵重的油浇在亚伦的头上, 流到胡须,又流到他的衣襟;
Ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni. Ndevu za Haruni, na yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 又好比黑门的甘露降在锡安山; 因为在那里有耶和华所命定的福, 就是永远的生命。
Ni kama umande wa Hermoni uangukao milimani pa Sayuni. Maana huko ndiko Bwana alipoamuru baraka, naam uzima milele na milele.

< 诗篇 133 >