< 马可福音 16 >
1 过了安息日,抹大拉的马利亚和雅各的母亲马利亚并撒罗米,买了香膏要去膏耶稣的身体。
Wakati sabato ilipokwisha, Mariamu Magdalena na Mariamu mama yake na Yakobo, na Salome, walinunua manukato mazuri, ili waweze kuja na kuupaka mafuta mwili wa Yesu kwa ajili ya maziko.
2 七日的第一日清早,出太阳的时候,她们来到坟墓那里,
Asubuhi na mapema siku ya kwanza ya juma, walienda kwenye kaburi wakati jua lilipochomoza.
Wakisemezana wao kwa wao, “Nani ataliviringisha jiwe kwa ajili yetu ili tuingie kaburini?”
4 那石头原来很大,她们抬头一看,却见石头已经滚开了。
Wakati walipotazama, walimuona mtu amekwisha kulivingirisha jiwe, ambalo lilikuwa kubwa sana.
5 她们进了坟墓,看见一个少年人坐在右边,穿着白袍,就甚惊恐。
Wakaingia kwenye kaburi na wakamwona kijana amevaa joho jeupe, ameketi upande wa kulia, na wakashangazwa.
6 那少年人对她们说:“不要惊恐!你们寻找那钉十字架的拿撒勒人耶稣,他已经复活了,不在这里。请看安放他的地方。
Akawaambia, “Msiogope. Mnamtafuta Yesu, wa Nazareti, aliyesulibiwa. Amefufuka! Hayupo hapa. Tazama mahali pale walipokuwa wamemweka.
7 你们可以去告诉他的门徒和彼得,说:‘他在你们以先往加利利去。在那里你们要见他,正如他从前所告诉你们的。’”
Nendeni, mkawaambie wanafunzi wake na Petro ya kuwa amewatangulia kuelekea Galilaya. Huko mtamwona, kama alivyokua amewaambia.”
8 她们就出来,从坟墓那里逃跑,又发抖又惊奇,什么也不告诉人,因为她们害怕。
Wakaondoka na kukimbia kutoka kwenye kaburi; walitetemeka na walishangazwa. Hawakusema chochote kwa mtu yeyote sababu waliogopa sana.
9 (note: The most reliable and earliest manuscripts do not include Mark 16:9-20.) 在七日的第一日清早,耶稣复活了,就先向抹大拉的马利亚显现(耶稣从她身上曾赶出七个鬼)。
(note: The most reliable and earliest manuscripts do not include Mark 16:9-20.) (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Mapema katika siku ya kwanza ya juma, baada ya kufufuka, alimtokea kwanza Mariamu Magdalena, ambaye kutoka kwake alimtoa mapepo saba.
10 她去告诉那向来跟随耶稣的人;那时他们正哀恸哭泣。
Aliondoka na kuwaambia wale ambao walikuwa pamoja naye, wakati walipokuwa wakihuzunika na kutoa machozi.
Walisikia kwamba ni mzima na ameonekana naye, lakini hawakumwamini.
12 这事以后,门徒中间有两个人往乡下去。走路的时候,耶稣变了形象,向他们显现。
(Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Baada ya hayo, akajitokeza katika namna tofauti kwa watu wengine wawili, wakati walipokuwa wakitembea kutoka katika nchi.
13 他们就去告诉其余的门徒;其余的门徒也是不信。
Walienda na kuwaambia wanafunzi wengine waliobaki, lakini hawakuwaamini.
14 后来,十一个门徒坐席的时候,耶稣向他们显现,责备他们不信,心里刚硬,因为他们不信那些在他复活以后看见他的人。
(Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Yesu baadaye akajitokeza kwa wale kumi na mmoja walipokuwa wameegama katika meza, na akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo, kwa sababu hawakuwaamini wale waliomwona baada ya kufufuka kutoka kwa wafu.
15 他又对他们说:“你们往普天下去,传福音给万民听。
Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni mwote, na kuhubiri injili kwa viumbe vyote.
Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokolewa, na yule asiyeamini atahukumiwa.
17 信的人必有神迹随着他们,就是奉我的名赶鬼;说新方言;
(Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Ishara hizi zitaambatana na wote waaminio. Kwa jina langu watatoa pepo. Watasema kwa lugha mpya.
18 手能拿蛇;若喝了什么毒物,也必不受害;手按病人,病人就必好了。”
Watashika nyoka kwa mikono yao, na hata wakinywa kitu chochote cha kufisha hakitawadhuru. Wataweka mikono kwa wagonjwa, nao watakuwa wazima”.
19 主耶稣和他们说完了话,后来被接到天上,坐在 神的右边。
Baada ya Bwana kusema nao, akachukuliwa juu mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu.
20 门徒出去,到处宣传福音。主和他们同工,用神迹随着,证实所传的道。阿们!
Wanafunzi wakaondoka na kuhubiri kila mahali, wakati Bwana akifanya kazi nao na kulithibitisha neno kwa miujiza na ishara zikifuatana nao.