< Wagalatia 6 >

1 Ndugu zangu, ikiwa mtu ameghafilika akatenda dhambi, basi ninyi mlio wa rohoni, mrejesheni upya mtu huyo kwa roho ya upole. Lakini jihadharini, ili ninyi wenyewe msije mkajaribiwa.
kinanunanga abile mundu atiboyalwa katika uovu, mwenga mwabile wa kiroha, mpalikwa kumkereboya mnunango katika roho ya upole. kono mulinge bene ili msijatibiwe.
2 Chukulianeni mizigo ninyi kwa ninyi, nanyi kwa njia hii mtatimiza sheria ya Kristo.
mkipotoleana ingombo na kwa hiyo mtaikamilisha sheria ya kristo.
3 Kama mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.
mana mundu yembe aiboba bora wakti si kilebe mwene cha kichake cha kuipania,
4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine.
bila yakuilenganikia mwene na mundu yenge.
5 Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
maana kila mundu atula mchingo wa kemwene.
6 Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.
Mundu yafundishite likiwe lazima anmakie yanamnowa yoti mwalimu wake.
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.
kanomkongelwe mnongo ataniliwalili. kila apandacho mundu ndicho chauna pia.
8 Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele. (aiōnios g166)
kila yapanda mbeya katika asili yake ya dhambi auna akati wa milele boka kwa roho. mana mundu yembe aibona bora wakati si kilebe, andakwikonga mwene. kila yuma na alenge kazi yake lengo mwene chakukilumba kilebe mwene cha kichake cha kuipania, bila yakuilenganikia mwene na mundu yenge. (aiōnios g166)
9 Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa.
kunauchoke katika panga makoe mema maana kwa wakati wake mema maana kwa wakati wake tupalauna manatukatike lii tamaa.
10 Kwa hiyo, kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema, hasa wale wa jamaa ya waaminio.
hivyo bisi wakti twatukolana nafasi tupange mena kila yumo. tupange mena zaidi has kwa walio mkati ya imani.
11 Angalieni herufi kubwa nitumiazo ninapowaandikia kwa mkono wangu mwenyewe!
mulinge ugolo wa barua yaniandike kwa lubako langanamwene.
12 Wale wanaotaka kuonekana wazuri kwa mambo ya mwili wanataka wawalazimishe kutahiriwa. Sababu pekee ya kufanya hivyo ni kuepuka kuteswa kwa ajili ya msalaba wa Kristo.
balo banalapanga mema kwa kulinga mwili ngababalazimisha inilwa hapanganyo kana banjingi mmateso ga wakristo munsalabu.
13 Hata wale waliotahiriwa wenyewe hawaitii sheria, lakini wanataka ninyi mtahiriwe ili wapate kujivuna kwa habari ya miili yenu.
maana abo babataililwe bene bakamua lii sheria badala yake bapalamwe muinwe.
14 Mungu apishie mbali nisije nikajivunia kitu chochote isipokuwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye ulimwengu umesulubiwa kwangu, nami nimesulubiwa kwa ulimwengu.
kanaipitelili nikaipuna isipokuwa kwa msalaba wa kwona witu yesu kristo katika ywebe dunia atisulubiwa kwaajili yako na dunia kwa kuwa nijalilili inwa ama kotoka inwa panga ni kilebe.
15 Kwa maana katika Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa si kitu, bali kule kuwa kiumbe kipya ni kila kitu!
badala yake lubeleko lwayambe ni muhimu.
16 Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, na juu ya Israeli wa Mungu.
kwa boti balama kwa kanuii, babe na amai rongo ibekunani yabe na kunanu ya israli na nongo.
17 Hatimaye, tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe, kwa maana nachukua katika mwili wangu chapa zake Yesu.
boka leno mundu yeyote kanaania ngaishe, maana nipotwite alama ya yesu muyega
18 Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
yango. neema ya ngwana witu yesu kristo ibe na roho yetu mnunango Amina

< Wagalatia 6 >